header

nmb

nmb

Saturday, February 15, 2014

RAIS KIKWETE ALIPOREJEA NYUMBANI KUTOKA LONDON JANA

Feb 15, 2014
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said Meck Sadik akimpokea Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea London Uingereza ambapo alihudhuria Mkutano uliojadili mbinu za kupambana na Ujangili duniani.Mkutano huo uliandaliwa na mwana mfalme wa Uingereza Prince Charles.(Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment