header

nmb

nmb

Friday, January 6, 2012

BAADHI YA MAJERUHI WA BASI LA MORO BEST KATIKA PICHA TOFAUTI,

BAADA YA KUTOKEA AJALI HEKA HEKA ZA KUJIOKOA NA KUOKOA ZILIKUWA HIVI.


HAPA WASAMALIA WEMA WAKIMTOA BIBI NDANI LA BASI HILO LA MORO BEST BAADA YA KUTOKEA AJALI YA KUACHA NJIA NA KUPUNDUKA ENEO HILO LA NERO MIKESE MOROGORO.

HUYU DADA ALIPITIA DIRISHANI BAADA YA KUVUNJWA KIOO ILI ABIRIA WAPATE NAFASI YA KUTOKA KTK BASI HILO KWANI INGEWEZA KUTOA DHAHAMA NYINGINE YA HITILAFU YA UMEME NA BASI KUAKA MOTO.

IDADI ILIONGEZA KWA ABIRIA HAO KUTOKEA KATIKA KIO BAADA YA KUHARIBIKA WAKITOKEA NDANI YA BASI HILO.

WASAMARIA WEMA WAKIMTOA MMOJA WA ABIRIA KATIKA AJALI HIYO KWENYE TUNDU LA KUINGIZIA HEWA NDANI YA BASI HILO AMBAZO KUNA SEHEMU MBILI TU.HAPA BAADHI YA ABIRIA KATIKA AJALI YA BASI LA MORO BEST WAKITOKA KWA MBELE YA KIO HICHO IKIWA NJIAMOJAWAPO YA KUJINUSURU BAADA YA BASI HILO KUPATA AJALI. (picha zote kwa hisani ya blog ya mtanda)

Wakazi wa Tanangozi na Ihemi katika wilaya ya Iringa vijijini wakiwa katika foleni ya kukinga mafuta katika gari ya kusafirisha mafuta yenye namba T 575 AXH iliyoanguka na kumwaga mafuta katika barabara kuu ya Iringa -Mbeya eneo la Ihemi juzi, huku polisi wakishuhudia bila kuchukua hatua za kuwanusuru endapo mlipuko utatokea. (picha na Francis Godwin)


Baadhi ya akina mama wakiwa kwenye foleni huku wakiwa na watoto mgongoni

Wengine wameamua kukaa kabisa kuiba hayo mafuta

No comments:

Post a Comment