header

nmb

nmb

Friday, January 6, 2012

KALAMA NYILAWILA AJIFUA KUMKABILI FRANSIC CHEKA

Bernald Lumbila Kushoto akifanya mazoezi ya pamboja na bondia Kalama Nyilawila Nyilawila anajiandaa na mpambano wake dhidi ya Fransic Cheka januar 28
Kalama Nyilawila akijifua katika GYM ya Sinza Makaburi

Msimamizi wa Mchezo wa ngumi katika kambi iliyopo sinza
makaburini, Bernald Lumbila (kushoto) akimwelekezai bondia Kalama Nyilawila jinsi ya kupiga ngumi katika mbavu Dar es saam Nyilawila anajiandaa na mpambano wake dhidi ya Fransic Cheka januar 28


No comments:

Post a Comment