HUYU NDIYE NKIMWANA ANAYE TUHUMIWA KUMCHOMA VISU MEJA WA JWTZ NA KUSABABISHA KIFO CHAKE!!
Mtuhumiwa wa mauaji ya mwanajeshi Meja John Tawete (58) wa Kikosi namba 603, Airwing, Aisha Hamis akitoka Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam leo, baada ya kusomewa shitaka la mauaji. Anayemsindikiza ni Koplo Khamisa.
No comments:
Post a Comment