Waziri Kagasheki apokelewa kwa shangwe mjini bukoba.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mama Cositancia Buhiye akimkaribisha Mh. Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Hamis Sued Kagasheki

Meya wa manispaa Mh. Anathory Amani akimkalibisha Mh. Waziri

Sheikh wa Wilaya ya Bukoba Sheikh Haruna kichwabuta akimsakimia Mh. Waziri Balozi Kagasheki

mapokezi nje ya uwanja wa ndege
No comments:
Post a Comment