header

nmb

nmb

Wednesday, May 9, 2012

PINDA AMTEMBELEA WAZIRI MWANDOSYA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Waziri Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es salaam  kumjulia hali May 7, 2012. (PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalizungumza na Waziri  Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es salaam  kumjulia hali May 7, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es salaam  kumjulia hali , May 7, 2012. Katika ni Mke wa Waziri huyo, Mama Lucy Mwandosya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment