Je picha hii ya Lului inayo onyesha mtumbo lake hapo vipi!!
Msanii Elizabeth Michael 'Lulu' ambaye ameshitakiwa kwa tuhuma za kumuua Msanii Nguli nchini, Steven Kanumba akiwa chini ya ulinzi mkali wa askari Magereza alipofikishwa tena leo katika Mahakama ya Hakim Mkazi Kisutu, Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment