header

nmb

nmb

Wednesday, May 9, 2012

MBUNGE NASSARI AJISALIMISHA POLISI ARUSHA

Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari(Chadema) akisalimiana na Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha Akili Mpwapwa leo katika makao makuu ya jeshi hilo mkoani hapa,alipojisalimisha baada ya kutakiwa kuripoti kituoni hapo
Wakili Albert Msando akizungumza na waandishi wa habari jana katika makao makuu ya Jeshi hilo mkoani Arusha akiwa na  Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi Joshua Nassari

No comments:

Post a Comment