header

nmb

nmb

Friday, February 17, 2012

Nani mkali promotion yazinduliwa na Airtel leo


Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mbando akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi huo.
• Mamia kushinda fedha taslimu
• Zaidi ya milioni 200 kutolewa

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel inayotoa huduma nafuu na yenye wigo mpana zaidi wa mawasiliano, leo imezindua promosheni mpya itakayowawezesha wateja wake kujishindia mamilioni ya fedha taslimu ijulikanayo kama “Nani
Mkali”

No comments:

Post a Comment