Prof LIPUMBA Aula tena Huko mbeleeee!!
Prof. Ibrahim Lipumba
Prof. Ibrahim Lipumba amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Uchumi wa Dunia. Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF ameteuliwa nafasi hiyo kutokana na uwezo wake na elimu aliyonayo ya mambo ya Uchumi.
No comments:
Post a Comment