header

nmb

nmb

Monday, January 9, 2012

MAJAMBAZI WALIO TAKA PUPORA DHAHABU MENGI YAIBUKA!!

Pia alikutwa n




Moja kati ya Majambazi wanne akiwa ameuwawa huku pembeni yake kukiwa na mabomu manne ya kutupa kwa mkono, magazini nne na risasi 60 ambazo hazijatumika, huku akiwa amevalia nguo za kawaida nne ndani na ya juu ikiwa ni sare za Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).inayo daiwa kuipora hapa nchini kwani yeye alitambuliwa kuwa ni raia wa Burundi.

No comments:

Post a Comment