header

nmb

nmb

Monday, November 7, 2011

Wema bado auguza kidonda alicho pewa na Diamondi Baada ya kipigo cha paka mwizi. Mwenyewe adai ni Mapenzi ya kweli!!

Diamond na Wema walikuwa wamepumzika mchana, ghafla jamaa alichukua simu ya Wema na kuanza kusoma sms, ndipo alipokutana na moja iliyoshiba mapenzi kutoka kwa mwanaume ikionesha kama wana uhusiano toka zamani,” kilisema chanzo hicho na kuongeza:
“Diamond hakutaka kuhoji zaidi, kilichofuata ni kipigo ambacho Wema hawezi kukisahau.”
purukushani kubwa ambapo Wema aligeuka bondia kwa kupangua makonde ya bwanaake huyo.Ilidaiwa kuwa staa huyo wa filamu hakufua dafu kwani Diamond alipeleka konde moja matata kama lile la Miyeyusho kwa Matumla hivyo kumwachia michoro ya makofi usoni huku akimsababishia mrembo huyo kutosikia vizuri hadi sasa.
Baada ya kumuona paparazi wetu, Wema alihoji kulikoni ambapo alimwagiwa ‘upupu’ wote na kupewa nafasi ya kufunguka juu ya ishu hiyo.
Kwanza alianza kwa kusita, lakini baadaye alifunguka: “Jamani mapenzi nyie acheni tu, ni kweli alinipa ‘mbata’, lakini hayo ni mambo ya kimapenzi tu kwa sababu mimi mwenyewe nasikia raha sana nikipigwa na mpenzi wangu.
“Asikwambie mtu, bila kunipiga atakuwa hana wivu na mimi, lakini alivyonipiga amethibitisha anavyonipenda.
”Nampenda Diamond na nitampenda maisha yote, kama ni vipigo sijali acheni nitoke manundu.” .....ha ha ha utajuta kupenda.Alisema wema..nakuongeza na bado.

No comments:

Post a Comment