header

nmb

nmb

Monday, November 7, 2011

Mfuko wa PSPF wawapiga taf kikundi cha akina mama!!

Afisa Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma PSPF, Bi.Fatma Elhady akimkabidhi msaada wa hundi ya shilingi milioni 1.5 Bi.Dominion Apiyo wa Kikundi cha Walemavu cha Little cha Changombe wilayani Temeke,Dar es Salaam.Msaada huo ni sapoti kubwa kwa akina mamahao.kwa hisani ya super "D"blog

No comments:

Post a Comment