header

nmb

nmb

Monday, November 7, 2011

Mtoto wa malkia wa uingereza aanza makeke jijini leo.Wana hekaheka wahaha kutafuta Ratiba yake wamwonyeshe mabango




Prince Charles of Wales na mkewe The Duchess of Cornwell Camilla Parker Bowles wakitazama kitabu chenye anuani za posta za zamani na stempu maalum kabla ya uhuru wa Tanganyika zilizokuwa zikitumika kwa ajili ya shughuli za mawasiliano. Anayemtazama ni Waziri wa Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbalawa.


The Duchess of Cornwell Camilla Parker Bowles (kushoto) akikabidhi kitabu kwa Mke wa Rais na Mwenyekiti wa taasisi ya (WAMA), Mama Salma Kikwete leo jijini Dar es Salaam. Kitabu hicho ambacho kimetimiza idadi ya vitabu Milioni 1 vilivyotolewa na kutoka kwa taasisi ya British Charity READ International.


Mke wa Rais na Mwenyekiti wa taasisi ya (WAMA), Mama Salma Kikwete akimkabidhi kitabu mwanafunzi wa shule ya sekondari ya WAMA Nakayama iliyopo Nyamisati wilayani Rufiji mara baada ya kupokea msaada wa vitabu hivyo kutoka kwa taasisi ya British Charity READ International, ambavyo vilikadhiwa na The Duchess of Cornwell Camilla Parker Bowles.



Burudani. Picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO



No comments:

Post a Comment