header

nmb

nmb

Tuesday, September 13, 2011

NDEGE YADONDOKA HUKO MBEYA LEO ASUBUHI

Hapa ndio mahali ndege hii ilipoangukia baada ya injini zake kuzima ghafla.
Ni Ndege ambayo ni mali ya kampuni ya Kapunga Rice huko Mbeya.

KAPINGAZ Blog Tunawapa pole wote waliopatwa na tatizo hili, kwa taarifa tulionaza hamna mtu aliyepoteza maisha wote wametoka salama ni mmoja tu alipata majeraha madogo.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Taarifa hii tumeipata kutoka mbeyayetu Blog.

No comments:

Post a Comment