header

nmb

nmb

Tuesday, September 13, 2011

NYENZO HIZI ZA KUFUNDISHIA ZITAISHA LINI KATIKA SHULE ZETU ZA MSINGI!

Wanafunzi wa Moja ya Shule zetu hapa Tanzania wakiwa na vijiti ambavyo huvitumia kama nyenzo ya kujifunzia kuhesabu.
Hali hii inasikitisha sana mpaka leo tunaenda kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru bado wanafunzi wetu wanatumia njia kama hii ya kupata Elimu.
KAPINGAZ Blog haita sita kuonyesha hisia zake katika hali kama hii ya Elimu ambayo tunawapatia watoto wetu. Tunaomba wahusika walifanyie kazi tatizo hili kwa vizazi vyetu vyote tulionavyo na vinavyokuja

No comments:

Post a Comment