header

nmb

nmb

Monday, September 12, 2011

KUTOKANA NA MSIBA MKUBWA KUTUPATA WATANZANIA NI VEMA KAMPENI ZA UCHAGUZI IGUNGA ZIKASITISHWA KWA MUDA.

Mh. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mh. Dr Shein, Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Kutokana na Msiba mkubwa uliotupata Watanzania kutokana na ajali ya Meli iliyotokea Usiku wa kuamkia leo huko katika Bahari ya Hindi upande wa Pwani ya Nungwi Serikali tunaiomba isitishe Shuhuli zote za Kampeni ya uchaguzi zinazoendelea katika Jimbo la Igunga mpaka mda ambao wanaona unafaa, ili watanzania wote macho yetu na masikio yetu tuyaelekeze kwa wenzetu, Ndugu zetu wazanzibari kwa msiba huu mkubwa.
KAPINGAZ Blog inatoa pole nyingi kwa familia zote ambazo zimepoteza ndugu katika ajali hii.
"MUNGU AWASAIDIE AWAPE FARAJA KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU"

No comments:

Post a Comment