header

nmb

nmb

Thursday, March 10, 2011

Warsha ya mazingira Arusha!


Kaimu Katibu Tawala Mko wa wa Arusha Bw Twalieli Mchome akifunguwa warsha ya Wadau kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi Kulia Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu waRais Bw Richard Muyungi,kushoto Ofisa Mwandamizi Mazingira Bw Patrick Ndaki Mkowani Arusha, warsha hio imefanyika ktk hotel ya Nura Spring


Wadau ktk picha ya pamoja na mgeni rasmi

No comments:

Post a Comment