header

nmb

nmb

Thursday, October 21, 2010

MWISHO ALEJEA ADAI ATAKUWA MCHEZA MAIGIZO WA BONGO> ALICHO AMBULIA HUKO BBA NI SIRIYAKE MOYONI!!

Mwisho Mwampamba akipokea shada la maua kutoka kwa ndugu zake(BABA YAKE MZAZI KULIA) mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere jioni ya jana akitokea Afrika kusini kwa ndege ya shirika la ndege la SAA ambako alishiriki shindano la BigBrother Africa na kushika nafasi ya nne huku mshiriki Uti kutoka Nigeria akijinyakulia kitita cha Dola laki mbili za Kimarekani.
Mwisho leo anatarajiwa kutembelea vyombo mbalimbali vya habari na kueleza mambo mbalimbali yaliyojiri kwa muda wote wa miezi mitatu walipokuwa kwenye jumba la Bigbrother na washiriki wenzake na kesho atazungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam katika

Mwisho mara baada ya kpokelewa akiwa katika usafiri aina ya Lemousine huku akiwa mwenye furaha.Picha na habai kwa hisani ya Full shangwe

No comments:

Post a Comment