header

nmb

nmb

Thursday, October 21, 2010

HALI YA SUPER KOCHI NI TETE AGAKHAN HOSPTOL MAOMBI YANAHITAJIKA ZAIDI!!

Familia ya kocha wa saikolojia wa timu ya SIMBA SYLESAID MZIRAY imesema imaomba watanzania waendelee kumuombea kocha huyo kipenzi cha wengi nchini.

Kumekuwa na taarifa za utata juu ya afya ya kocha MZIRAY ambaye kwa takribani wiki moja ameshindwa kuiongoza timu yake ya Simba katika baadhi ya michezo ya ligi kuu Tanzania bara ukiwemo ule dhidi ya watani wao wa JADI YANGA uliopigwa katika uwanja wa CCM kirumba na SIMBA kuambulia kichapo cha bao moja kwa bila.

Kwa sasa kocha huyo yuko katika hospitali ya agakhan Dar es salaam akipigania Roho yake

PR habari inaungana na watanzania hususan wapenzi wa Simba kumwombea afya njema ili aweze kuludi katika majikumu yake ya kila siku MUngu atamwokoa

No comments:

Post a Comment