header

nmb

nmb

Thursday, October 21, 2010

POLE AISHA HAYO NDIO MAISHA YA NDOA MAMA!!

Na Shakoor Jongo Lile gogoro la staa wa miondoko ya mwambao anayetumika katika Kundi la Jahazi Modern Taarab, Aisha Ramadhan ‘Isha Mashauzi’ kupigana na mumewe, limefungua sura mpya baada ya mwanaume huyo, Jumanne Hassan ‘Tevez’ kumtwanga talaka mkewe huyo.…Kanunue gazeti hili upate uhondo zaidi

No comments:

Post a Comment