Picha hiyo inayomuonesha mrembo huyo akiwa amevalia kichupi chekundu pamoja na sidiria ya maua tu imetundikwa katika mtandao wa Miss World pamoja na maelezo yanayomhusu.
Wakiizungumzia picha hiyo baadhi ya wadau wa mashindano hayo wameendelea kukandia uvaaji huo kwa maelezo kuwa, ni kinyume na utamaduni wa kitanzania.
Walisema kuwa, wanajua miongoni mwa taratibu za shindano hilo ni pamoja na mshiriki kupiga picha za aina hiyo lakini wakaeleza kuwa, inakuwaje picha kama hiyo itakapoonwa na wazazi hasa baba yake.Pix kwa hisani ya mtandao wa global zaidi bofya hapo.
No comments:
Post a Comment