header

nmb

nmb

Saturday, August 7, 2010

WADAU KWA SASA MWANA NIKO MWANZA MUNGU AMETUWEZESHA KUFIKA SALAMA ILA BASI HILI NINOMA SIPANDI TENA!!


Basi hili sipandi tena lina simama sana lina sumbua wateja wake kinoma pandashuka kukwepa mizani ya Selikari na mambo ya kuchimba dawa kwasana kila baada ya kituo. Huwezi amini Tiketi inaonyesha tunge anza safari Saa kumi na mbili na nusu lakini tumeanza Safari saa moja kiduchu 5. tumefika Mwanza usiku wa matano kama si manane.

No comments:

Post a Comment