.JPG)
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi Ruth Mollel akiangalia na kupata Maelezo toka kwa Mjasiriamali wa Mtandao wa Mazingira Dodoma Unaofadhiliwa na [NEMC} Bw Amandus Chitopela kuhusu aina ya Mvinyo utokanao na Mauwa ya Choya wakati wa Maonyesho ya Nane nane yanayoendelea Mkowani Dodooa leo (picha na Ali Meja)
No comments:
Post a Comment