Huwezi amini zigo la Bunduki lina teketea ni zaidi ya elfu 3 zilikikuwa mikononi wasio husika kuwa nazo na baadhi zimesha uwa sana tu
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Abasi Kandoro aki akishangaa jinsi watu walivyo weza kumiliki bunduki kinyume chao
Hapa Mzee wa PR nilipata nafasi ya kusalimiana naye tuka kumbushana ya bomgo Tuka cheeeeeee ka. Hii si kazi iliyo nileta isipo kuwa Mzee wa PR hakosi Udaku na udakuziiii
No comments:
Post a Comment