Zaidi Bofya Mrisho blog
header
nmb

Friday, July 30, 2010
OOOOOOO NOOOOOO WALIPENDEZA KWAKWELI!!
WANA USALAMA KENYA WAMKANYA MOI!!

Nairobi, Kenya
RAIS wa zamani wa Kenya Daniel Arap Moi ametakiwa kujiheshimu kwa kutotoa maneno ya kashfa dhidi ya Rais wa sasa Mwai Kibaki.
Kamati ya Usalama nchini humo imemtaka Moi kumuheshimu Rais Kibaki kwa kuwa ndiye aliyepo madarakani kwa sasa. Ni kutokana na wawili hao kuwa na mtazamo tofauti katika kampeni kuhusu katiba mpya.
Rais Kibaki kwa upande wake anataka wananchi wa Kenya kuupitisha muswada wa katiba mpya, huku Moi akiongoza kampeni ya kupinga katika hiyo.
Pamoja na hivyo, kamati iliyoundwa ya kujenga utaifa imesema, mzozo huo wa kibinafsi unaathiri kazi zake.
Kutokana na kuwepo kwa mvutano huo, baadhi ya wachambuzi wa mambo ya kisiasa nchini humo wamekuwa na wasiwasi wa kuzuka kwa machafuko mapya kama yale yaliyotokea katika kipindi cha uchaguzi 2007/08 ambapo zaidi ya watu 1,000 walipoteza maisha yao.
Jana Moi ambaye aliwahi kuwa rais wa Kenya kwa miaka 24 alisema, Kibaki hatakiwi kumshutumu kwa kupinga muswada huo kwa kuwa, hakutimiza ahadi yake ya kubadili katiba ndani ya siku 100, wakati alipoingia madarakani mwaka 2002.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kujenga Utaifa (NCIC), Mzalendo Kibunjia alimtaka Moi kumheshimu rais na kutoa wito kwa mahasimu hao wawili kujizuia kutoa matamshi ambayo yanaweza kusababisha mvutano katika kampeni za kura hiyo ya maoni.
Dalili mbaya ya kuwepo kwa machafuko yanayokisiwa kutokea imeelezwa kuanzia Juni mwaka huu ambapo watu wasiopungua sita waliuawa baada ya bomu la kurushwa kwa mkono kutupwa katika mkutano wa kampeni ya kupinga rasimu hiyo mjini Nairobi.
Kutokana na hali hiyo, wabunge watano walishitakiwa kwa kile kilichoeleza kutoa matamshi ya chuki wakati wa kampeni hizo na kwamba malalamiko hayo yalifikishwa kwa NCIC.
Ghasia nyingi za mwaka 2007/08 zilitokea wakati uhasama katika uchaguzi ulipozusha mizozo ya kugombea ardhi, hasa katika eneo la Bonde la Ufa, sehemu anayotoka Moi.
Moja ya kipengele katika rasimu ya katiba mpya, ni kuunda tume ya ardhi ambayo itataifisha ardhi iliyopatikana kwa njia zisizo halali wakati wa utawala wa Rais Moi.
FBI YAOMBWA MSAADA
Marekani yaomba FBI kuisaidia uvujaji siri Afghanistan
Marekani
OFISA Usalama wa Marekani Robert Gates ameitaka Shirika la Upelelezi (FBI), kusaidia kuchunguza uvujaji wa siri za kijeshi nchini Afghanistan.
Hiyo imetokana na jumla ya kurasa 90,000 za siri zinazohusu viya vya Afghanistan kuchapishwa na kuweka katika mtandao hivyo kufanya ulimwengu wote kusoma siri hizo ambazo kwa kawaida huwa ni mali ya jeshi tu.
Gates alisema, kuchapishwa kwa kurasa hizo na kuweka katika mtandao ni hatari kubwa kwa usalama wa wanajeshi waliopo nchini humo na mikakati yao kwa ujumla.
Alisema kuwa, ni vema ukafanyika uchunguzi wa hali ya juu ili kuweza kubaini muhusika aliyewezesha kupatikana kwa nyaraka hizo na kuchapishwa mtandaoni.
Mtandao wa Wikileaks website ambapo ndio uliochapisha nyaraka hizo umeeleza, nyaraka hizo zinahusu vita na kazi mbalimbali za wanajeshi nchini humo kuanzia mwaka 2004-09.
"Ni muhimu kwamba tuchunguze, tabia hii ya kuvuja kwa siri hizo ni tatizo kubwa kwa usalama wa Taifa.
"Kuendelea kuvuja kwa nyara hizi muhimu pia ni hatari kubwa kwa usalama wa majeshi yetu, ushirikiano wetu pamoja na rafiki zetu Waafghanistan. Pia inaweza kushusha hadhi yetu na uhusiano wetu duniani," alisema.
Gates aliongeza kuwa, aliongea na mkurugenzi wa FBI Robert Mueller juzi na kumtaka kutoa ushirikiano wake katika kuchunguza uvujaji huo wa siri za jeshi.
Marekani
OFISA Usalama wa Marekani Robert Gates ameitaka Shirika la Upelelezi (FBI), kusaidia kuchunguza uvujaji wa siri za kijeshi nchini Afghanistan.
Hiyo imetokana na jumla ya kurasa 90,000 za siri zinazohusu viya vya Afghanistan kuchapishwa na kuweka katika mtandao hivyo kufanya ulimwengu wote kusoma siri hizo ambazo kwa kawaida huwa ni mali ya jeshi tu.
Gates alisema, kuchapishwa kwa kurasa hizo na kuweka katika mtandao ni hatari kubwa kwa usalama wa wanajeshi waliopo nchini humo na mikakati yao kwa ujumla.
Alisema kuwa, ni vema ukafanyika uchunguzi wa hali ya juu ili kuweza kubaini muhusika aliyewezesha kupatikana kwa nyaraka hizo na kuchapishwa mtandaoni.
Mtandao wa Wikileaks website ambapo ndio uliochapisha nyaraka hizo umeeleza, nyaraka hizo zinahusu vita na kazi mbalimbali za wanajeshi nchini humo kuanzia mwaka 2004-09.
"Ni muhimu kwamba tuchunguze, tabia hii ya kuvuja kwa siri hizo ni tatizo kubwa kwa usalama wa Taifa.
"Kuendelea kuvuja kwa nyara hizi muhimu pia ni hatari kubwa kwa usalama wa majeshi yetu, ushirikiano wetu pamoja na rafiki zetu Waafghanistan. Pia inaweza kushusha hadhi yetu na uhusiano wetu duniani," alisema.
Gates aliongeza kuwa, aliongea na mkurugenzi wa FBI Robert Mueller juzi na kumtaka kutoa ushirikiano wake katika kuchunguza uvujaji huo wa siri za jeshi.
Miili ya waliokufa Kongo yasakwa
Kinshansa, Kongo
WAOKOAJI nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wamesema, wapo katika hali ngumu ya kutafuta miili ya watu waliofariki dunia kutokana na boti waliyokuwa wakisafiria kuzama kwenye mwingiliano wa Mto Kongo kwenye eneo la Jimbo la Bandundu magharibi magharibi mwa nchi hiyo.
Katika ajali hiyo iliyotokea Jumatano iliyopita, inaelezwa kuwa zaidi ya watu 80 walifariki dunia ambapo boti hiyo ilikuwa imebeba watu ya uwezo wake.
Boti hiyo ambayo iliyokuwa na wafanyakazi na abiria zaidi ya 200, inaelezwa kuzama kwake kulitokana na boti hiyo kugonga kingo za mchanga au mwamba hivyo kuyumba na mwishowe kuzama katika mto huo.
Pia inaelezwa, sababu kubwa ni kutokana na boti hiyo kuwa na uzito uliopitiliza uwezo wa boto hiyo, hivyo kusababisha kuyumba na hatimaye kukosa mwelekeo na kuzama.
Baadhi ya watu waliokuwa katika boti hiyo walielezwa kuokolewa ambapo baadhi yao walijiokoa wenyewe kutokana na ujuzi wao wa kuogelea na kwamba idadi kamili ya watu waliopoteza maisha katika ajali hiyo haijaweza kufahamika. Wananchi wa Kongo wamekuwa wakitumia usafiri wa maji kutokana na nchi hiyo kutokuwa na miundombinu ya barabara, reli ya kutosha kwa miongo kadhaa sasa.
Kutokana na hali hiyo, ajali nyingi za boti kuzama majini zimekuwa zikitokea na kusababisha vifo vya watu wengi ambapo Novemba mwaka jana, takribani watu 73 walifariki dunia baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama Ziwa Tanganyika katika jimbo hilihilo la Bandundu.
Ilielezwa kuwa boti hiyo ilikuwa imebeba abiria na bidhaa kutoka Mushie, takriban kilomita 30 kutoka Bandundu.
Ofisa polisi wa jimbo hilo Jolly Limengo alisema, ajali hiyo ni pigo kutokana na kugharimu maisha ya watu pamoja na malizao.
WFP kununua chakula Afrika
SHIRIKA la Chakula duniani (WFP) limesema linajitahidi kuongeza kiwango cha chakula kutoka barani Afrika.
Mkuu wa WFP Josette Sheeran alisema, wanajitahidi kuhakikisha kuwa nchi 16 kutoka Afrika zitafaidika kutokana na mpango huo.
Alisema, katika Bara la Afrika wakati uhaba wa chakula ukitokea, mashirika ya misaada ya kimataifa hupeleka chakula ambacho hununuliwa kutoka nchi za kigeni.
Alisema, WFP imeona kuwa hali hiyo ni kikwazo katika shirika hilo na kwamba, shirika hilo limedhamiria kuondokana na tatizo hilo.
Miongoni mwa nchi ambazo zimetajwa kuanzwa katika mpango huo ni Uganda.
Mkrugenzi wa WFP nchini Uganda Stanlake Samkange alisema, fedha nyingi zitatumika kununua vifaa vitakavyoliwezesha shirika hilo, kununua kiwango kikubwa zaidi mahindi na maharage.
Vifaa hivyo vitatumika kuhifadhi na kusafisha chakula hicho, ili kiweze kufikia kiwango cha kimataifa.
Mwaka jana WFP lilitumia dola za Marekani millioni 220 kutoka Afrika.
Wakulima kutoka Uganda, ni baadhi ya wale waliofaidika.
mwisho
VIBAKA WAKATISHA MAISHA YA MTOTO.NI BAADA YA KUIBAMIFUNIKO YA KARO KISHA MTOTO KUTUMBUKIA!!


Askari Polisi wa Kituo cha Chang'ombe, Dar es Salaam akihakikisha kifo cha
Mtoto Said Bakari (3) mkazi wa Temeke Pile Mkuranga 'B' aliyekufa baada ya kutumbukia kwenye karo la nyumba ya Mzee Mashilingi jana. Picha ndogo ni karo alilotumbukia mtoto huyo na kusababisha umauti wake. (Picha zote na Michael Simon)
Mtoto Said Bakari (3) mkazi wa Temeke Pile Mkuranga 'B' aliyekufa baada ya kutumbukia kwenye karo la nyumba ya Mzee Mashilingi jana. Picha ndogo ni karo alilotumbukia mtoto huyo na kusababisha umauti wake. (Picha zote na Michael Simon)
Thursday, July 29, 2010
Jeshi la polisi latoa ufafanuzi wa kifo!!
Na. Aron Msigwa – MAELEZO.

Jeshi la Polisi nchini limesema kifo cha askari Polisi WP.7338 PC Suzana kilichotokea katika kituo cha Polisi Tarime tarehe 4/7/2010 kilitokana na tukio la askari huyo kujipiga risasi kifuani.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam Msemaji Msaidizi wa Jeshi la Polisi Nchini ASP Advera Senso amesema askari huyo WP .7338 PC Suzana siku ya tukio hilo aliingia kazini asubuhi na baadaye kutakiwa kuelekea kwenye lindo kwa muda kuzuia magari yasiingilie msafara wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye alikuwa na ziara wilayani Tarime siku hiyo.
Amesema siku hiyo msafara wa rais ulipofika alipokuwa PC Suzana uligawanyika gari la RPC Mara liliacha njia ya msafara na kuingia barabara ya Bomani kwenda ofisi ya DC likifuatiwa na magari mengine matatu likiwemo la Rais.
ASP Senso amefafanua kuwa eneo ulipogawanyikia msafara kuna kilima na kona kali iliyosababisha RPC Mara kupotezana na magari yaliyokuwa mbele yake na hivyo kushindwa uelekeo wa msafara. “Mara baada ya kuona amepotea RPC wa Mara alisimama alipokuwa PC Suzana na kutaka kujua kwa DC ni wapi, akawaonyesha njia ya mkato ambayo haikuwa rasmi iliyopangiwa msafara” amesema.Amefafanua kuwa ilionekana PC Suzana alielewa kuwa RPC Mara alitaka kwenda Ofisi ya DC wakati yeye alitaka kuelewa njia ulipopita msafara.
Baadaye RPC Tarime Rorya alimwagiza mkuu wa kituo Tarime apeleke askari mwingine eneo hilo na PC Suzana arudi kituoni umbari wa takribani mita 100 toka alipokuwa amepangiwa kazi.Amesema PC Suzana alipofika chumba cha mashitaka aliendelea na kazi, baadaye kwa kushirikiana na askari mwenzake PC Dora waliaadaa makabidhiano ya zamu na wakati wakiendelea kuandaa ghafla PC Suzana alichukua silaha moja kati ya mbili zilizokuwa kwenye sanduku na kuingia kwenye ofisi ya mkuu wa kituo na kufunga mlango.
Amefafanua kuwa askari wengine waliokuwa kwenye chumba cha mashtaka walipoona hivyo walikwenda kwenye mlango alipoingilia PC Suzana na kujaribu kuuvunja ndipo akapiga risasi mlangoni na risasi hiyo kutoboa mlango kitendo kilichowafanya kurudi nyuma na baada ya muda walivunja mlango na kumkuta PC Suzana akiwa amejipiga risasi kifuani.
ASP Advera amesema Jeshi la Polisi limechukua hatua za kiutawala na kuboresha mwongozo wa namna ya kusimamia misafara kwenye mikoa ya kipolisi yenye makamanda zaidi ya mmoja chini ya mkuu wa mkoa mmoja, mafunzo kazini na vyuoni kuhusu namna ya kukabilianma na msongo (stress Management). Hata hivyo amebainisha kuwa kifo cha WP Suzana ni suala linalohitaji uamuzi wa kisheria na jalada la tukio hilo limekamilishwa na kupelekwa ofisi ya wakili wa serikali kanda ya Ziwa kwa maamuzi ya kisheria.
MAZISHI YA MAMA YETU KIJIJINI KWAKE HOMBORO MKOANI DODOMA JANA!!
TBL. yaipiga tafu-taswa-fc-milioni-4
Meneja Uhusiano wa kampuni ya bia TBL Edith Mushi akizungumza na wanahabari katika ofisi za kiwanda hicho wakati alipokabidhi mfano wa hundi ya Shiilingi milioni 4 kama msaada kwa ajili ya Chama cha wandishi wa habari TASWA inayokewanda katika mashindano ya Bonanza yatakayofnyika mkoani Arusha jumapili.
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) imetoa sh. 4, 875,000 kwa timu ya soka ya Waandishi wa Habari za Michezo Nchini (TASWA FC) kwa ajili ya kushiriki katika bonanza la waandishi wa habari wa Mkoa wa Arusha. Fedha hizo zilikabidhiwa kwa Mwenyekiti wa TASWA FC, Majuto Omary katika hafla fupi iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa TBL. Alisema kuwa fedha hizo ni kwa ajili ya usafiri wa kwenda na kurudi, chakula na posho kwa wachezaji na viongozi wa timu hiyo kwa siku zote watakazo kuwa Arusha. Akizungumza mara baada ya makabidhiano hayo, Meneja Uhusiano wa TBL, Edith Mushi alisema kuwa msaada huo ni moja ya kazi za TBL katika kusaidia jamii na safari hii wameamua kufanya hivyo kwa waandishi wa habari. Mushi alisema kuwa mbali ya msaada kwa jamii, lengo la TBL pia ni kudumisha ushirikiano wa karibu kwa waandishi wa habari ambao wamechangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya michezo na katika sekta nyingine hapa nchini. Alisema kuwa wanaamini kuwa mchango huo utaleta mafanikio kwa timu hiyo na kuweza kutetea vyema taji lake. “TBL inatambua na kuthamini mchango wenu katika maendeleo ya sekta mbali mbali ikiwa pamoja na michezo, tunayo furaha kubwa kuona leo hii mmekuwa mfano wa kuonyesha kwa vitendo mchezo wa soka, tunawatakia kila la kheri katika mashindano hayo na katika kazi ya kuelimisha na kukosa jamii,” alisema Mushi. Mwenyekiti wa TASWA FC, Majuto Omary alishukuru TBL kwa msaada huo mkubwa ambao umeipa nafasi timu yake kutetea ubingwa wake ipasavyo. Majuto alisema kuwa TBL imeonyesha mfano wa kuigwa kwa jamii kwani imekuwa mstari wa mbele katika kusaidia masuala mbali mbali ya jamii hapa nchini. “Hii ni faraja kuwa kwa TASWA FC kwa kuwa na kampuni yenye kujali waandishi kama TBL, tunaahidi kufanya vyema katika mashindano hayo na kuibuka na ushindi,” alisema Majuto. Alisema kuwa Tanzania kuna makampuni mengi sana, lakini kutokana na kutojua umuhimu wa waandishi wa habari, wameshindwa kuchangia punde waombwapo misaada, na mara nyingi wakitoa majibu ya barua ya maombi kwa njia ya simu siku tatu kabla ya safari ya kuwa ``ombi lenu halikufanikiwa’’. “Kwa kweli tumepata usumbufu mkubwa sana, kwani tulikuna vichwa ili kujua nini kifanyike ili kuikomboa timu na kufanikisha safari yetu,” alisema Majuto.
Monday, July 26, 2010
Mwanamke mnene kuliko wote Uingereza afariki Dunia..!


The mum - whose weight was NORMAL when she got married in her 20s - blamed post natal depression for her piling on the pounds as she became addicted to comfort eating.
She blasted the NHS, saying: "I have been left to die. If I was anorexic I would get proper help. But no one has sympathy for obese people."
Sharon's bulk put so much strain on her lungs she needed an oxygen tank to breathe.
She was repeatedly warned she was eating herself to death.
But she refused to stop bingeing - despite undergoing a £30,000 op on the NHS earlier this year to have a gastric band fitted. It was meant to have curbed her gargantuan appetite.
Broomfield Hospital in Chelmsford - where the mum had been a patient for two months - refused to comment yesterday.
But a source confirmed: "She died on Saturday. Because of her weight, hospital staff had to be very careful how she was moved." Sharon's grief-stricken loved-ones were yesterday preparing to make special funeral arrangements for the mum.
A supersize coffin big enough for her will have to be found.
The mum's death comes just months after Britain's biggest man - 70-stone Paul Mason, from Ipswich - underwent surgery.
Yesterday one NHS worker said: "No one could believe how big Sharon was. She was so fat she could not walk."
Another told The Sun: "There is only so much the Health Service can do for someone with this kind of problem. In the past she begged the NHS for help.
"But in the end the patient turned around and threw it back in their face - by going back to her old ways.
"Many people are very angry about the fact food that was known to be bad for her was brought into the hospital.
"The matter was raised a number of times, but the problem persisted. By the end many staff were at their wits' end.
"It is tragic - what we would call truly a 21st century tragedy.
"This woman was only 40. But she literally ate herself into an early grave."
e.morton@the-sun.co.ukRead more: http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/news/3068364/Britains-fattest-woman-dies.html#ixzz0uldxqMB8
MSIBA MZITO BI.PELESTACHI J.CHIBEHE AFARIKI DUNIA, NI MAMA WA MDAU JOSEPH CHIBEHE!!


Wadau wote na Mwenyekiti wa pr Promotion wanaungana katika msiba huu mzito.
EE Mungu iweke Roho ya Mama yetu mahali Pema Peponi!!
KIJIJI CHA WASANII SASA NI MKURANGA, WENGI WAPAPENDA,WANA KIJIJI WAWAPOKEA WASANII KWA MIKONO MIWILI!!
Sunday, July 25, 2010
TAARIFA YA MSIBA !!
Msiba Mzito Umemba Mwenzeti katika fani Joseph Chibehe ambaye ni Mdau Mkuu wa Blog Hii
Bw. Joseph Chibehe amempoteza Mama yake Mzazi Usiku wa Kumakia leo ambaye alikuwa anaugua katika hospitali ya hindu mandari Jijini DSM.
Taarifa zaidi za Mazishi na picha ni hapo Baadae ila kwa sasa Msiba uko Pugu kajiungeni na kwamba wanatarajia kusafirisa kesho kwenda Homboro mkoani Dodoma
Mungu aiweke Roho ya Marehemu Pema peponi!!
Bw. Joseph Chibehe amempoteza Mama yake Mzazi Usiku wa Kumakia leo ambaye alikuwa anaugua katika hospitali ya hindu mandari Jijini DSM.
Taarifa zaidi za Mazishi na picha ni hapo Baadae ila kwa sasa Msiba uko Pugu kajiungeni na kwamba wanatarajia kusafirisa kesho kwenda Homboro mkoani Dodoma
Mungu aiweke Roho ya Marehemu Pema peponi!!
SIKU YA MASHUJAA NI LEO RAIS JK KIKWETE AWEKA MASHADA KWENYE MAKABURI YA MASHUJAA WALIO UWAWA VITANI KTK VIWANJA VYA MNAZI MMOJA DSM!!

Maadhimisho hayo yamehudhuriwa na wageni mbalimbali wakiwemo Mabalozi, Mawaziri, Viongozi wa vyama vya siasa, Marais na Mawaziri wakuu wastaafu . viongozi pamoja na wananchi.
Friday, July 23, 2010
FROLA MARTIN AIBUKA MISS HIGHER LEARNING ALIPATIKANA VIWANJA VYA KARIMJEE!!
Thursday, July 22, 2010
WAZAZI WA MTOTO ALIYE ZALIWA MZUNGU KUFANYIWA DN A(VINA SABA)!!

WAZAZI wa mtoto aliyezaliwa mzungu nchini Uingereza wamekubali uamuzi wa wataalamu wa vina saba kumfanyia uchunguzi mtoto huyo.
Habari kutoka nchini humo zimeeleza kuwa wazazi hao Benjamin na Angela wamekubali mtoto huyo wa kike afanyiwe uchunuzizaidi ili kuibaini sababu za kuzaliwa akiwa katika hali kama hiyo.
Mtaalamu wa vina saba kutoka Chuo Kikuu cha London Dkt.Mark Thomas amesema kuwa ana wasiwasi huwenda kuna mchanganyiko wa chembechembe nyeupe na zile na zile zinasobabbisha mtu kuwa na ulemavu wa ngozi albino ingawa uchunguzi wa awali ulionyesha si albino
Baba mzazi wa binti huyo Benjamin kwa upande wake amesema kuwa licha ya kukubali matokeo ya jinsi mtoto huyo alivyo,bado wataendelea kutafuta sababu za mtoto huyo kuzaliwa hivyo.
Mtoto huyo alizaliwa na wazazi weusi ambao ni raia wa Uingereza wenye asili ya Nigeria na inaelezwa kuwa katika familia yao hawana historia ya kuzaliwa mtu wa aina kama hiyo.
Benjamin ambaye ni mshauri wa huduma kwa wateja alisema kuwa alipomuona mtoto huyo kwa mara ya kwanza alishutuka lakini baadaye akasema kuwa ni mwanaye na anamuamini sana mkewe.
Alisema mkewe ni mwaminifu kwake sana na walihamia nchini humo wakitokea kwa Nigeria miaka mitano iliyopita. BBC
SIKU USAFI UNAFANYIKA KTK HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI MAMBO HUWA HIVI!!
JAMANI MNAPO JENGA BARABARA KARIBU NA TAASISI WEKENI MATUTA JANA KTK MTITI HUU MTOTO MMOJA ALIPOTEZA MAISHA!!


Dereva wa pikipiki anapo chezea Kichapo (mwenye fulana ya pundamilia) akipewa kichapo na akina mama baada ya kutaka kupita kinguvu eneo lililofungwa.
WAKAZI wa Kunduchi Mtongani jijini Dar es Salaam, jana walizua kizazaa baada ya kuifunga barabara kuu inayotoka Mbuyuni kuelekea eneo hilo kufuatia gari aina ya Toyota Hiace linalofanya shughuli za daladala kati ya Kunduchi na Mwenge kuwagonga na kuwaua watoto wawili wa familia moja.
Vurugu hizo zilisababisha askari wa kutuliza ghasia FFU, kutumia mabomu ya kutoa machozi ingawa baadaye walikatazwa kutumia mabomu hayo na askari wa JWTZ wa kambi iliyopo jirani na eneo hilo kutokana na muingiliano wa mionzi kati ya mabomu hayo na vifaa vyao. Picha kwa hisania ya global
UHABA WA MABASI YA MADENTI NI CHANGAMOTO KWA MAKAMPUNI MENGINE KUINGA MFANO WA CRDB BAK!!

Wednesday, July 21, 2010
UCHAGUZI NI HURU RWANDA!!

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame ameahidi uchaguzi wa mwezi ujao utakuwa huru huku akipinga ukosoaji wa hivi karibuni uliotolewa na mashirika ya kutetea Haki za Binadamu.
Akizindua kampeni kwa ajili ya uchaguzi wa Agosti 9 mwaka huu Rais Kagame alisema kuwa wapiga kura wa Rwanda wana uhuru wa kuchagua.
Kauli hiyo ya Rais Kagame imekuja baada ya hivi karibuni wakosoaji kadhaa kuuawa ama kushambuliwa huku ofisa mmoja mwandamizi akizikwa huku Rais Kagame akiwa anazungumza.
Mwandishi wa Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC, Geoffrey Mutagoma aliyepo mjini Kigali amesema maelfu ya wafuasi wa Rais Kagame wakiwa wamevaa rangi za chama ambazo ni nyekundu, nyeupe na bluu walijaa kwenye uwanja wa taifa wa Amahoro na wengi walishindwa kuingia.
Mbali na kampeni za Rais Kagame,vyama vingine vitatu vilizindua kampeni zao lakini vyote vinaonekana kuwa karibu na Rais Kageme kutokana na kuwa vyama viwili vimekuwa serikalini tangu mwaka 1994.
Akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kampeni hizo, Rais Kagame alisema anahisi chama chake kitarudi madarakani."Nina imani kuwa raia wa Rwanda watachagua kushirikiana na
Akizindua kampeni kwa ajili ya uchaguzi wa Agosti 9 mwaka huu Rais Kagame alisema kuwa wapiga kura wa Rwanda wana uhuru wa kuchagua.
Kauli hiyo ya Rais Kagame imekuja baada ya hivi karibuni wakosoaji kadhaa kuuawa ama kushambuliwa huku ofisa mmoja mwandamizi akizikwa huku Rais Kagame akiwa anazungumza.
Mwandishi wa Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC, Geoffrey Mutagoma aliyepo mjini Kigali amesema maelfu ya wafuasi wa Rais Kagame wakiwa wamevaa rangi za chama ambazo ni nyekundu, nyeupe na bluu walijaa kwenye uwanja wa taifa wa Amahoro na wengi walishindwa kuingia.
Mbali na kampeni za Rais Kagame,vyama vingine vitatu vilizindua kampeni zao lakini vyote vinaonekana kuwa karibu na Rais Kageme kutokana na kuwa vyama viwili vimekuwa serikalini tangu mwaka 1994.
Akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kampeni hizo, Rais Kagame alisema anahisi chama chake kitarudi madarakani."Nina imani kuwa raia wa Rwanda watachagua kushirikiana na
Tuesday, July 20, 2010
BREKIG NIUZIII DALADALA LATUMBUKIA MTONI NA KUJERUHI WATU KAZAA>ENEO LA MTONI MTONGANI DAR ES SLAAM MIDA HII NI HUZUNI TUPU!!
MASABURI NAYE ACHUKUWA FOMU KUWAWANIA UDIWANI KATA YA KIVUKONI!!
BLOG YA PR INAMPONGEZA MTOTO KWA KUTIMIZA MWAKA 1 DUNIANI KAPENDEZA!!
JACQUES BIRTHDAY PARTY!!
BIRTHDAY BOY::JACQUS WILMORE III
YEARS::1
THEME::WINNIE THE POOH
VENUE:: MJENGONI MBEZI

JANUARI MAKAMBA ATIKISA BUMBURI APOKELEWA NA MDUMANGE!!

Januari Makamba akilakiwa kwa shangwe na wana Bumbuli mkoani Tanga jana wakati alipochukua fomu za kuwania ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi jimboni humo mamia ya wana CCM jana walijitokeza kuchuyka fomu zakugombea ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu ujao unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
INAELEKEA MAKONGORO MAHANGA HATAKIWI TENA TABATA NI BAADA YA KUTOLETAMAENDELEO UKONGA NA KUHAMIA JIMBO LA SEGEREA!!
MBUNGE Mstaafu Makongoro Mahanga akisaini fomu ya kuomba kugombea tena jimbo la Segerea
KWA kile kinachoashiria huenda kampeni za mwaka huu zikawa za kukata na shoka Wana-CCM zaidi ya kumi wamejitokeza kumkaba koo Mbunge anayetetea nafasi yake,Makongoro Mahanga ambaye ni Naibu Waziri wa Kazi na Maendeleo ya Vijana ambaye anawania jimbo hilo jipya baada ya kuliacha lile la Ukonga hali inayoonyesha hatakiwi tena.
KWA kile kinachoashiria huenda kampeni za mwaka huu zikawa za kukata na shoka Wana-CCM zaidi ya kumi wamejitokeza kumkaba koo Mbunge anayetetea nafasi yake,Makongoro Mahanga ambaye ni Naibu Waziri wa Kazi na Maendeleo ya Vijana ambaye anawania jimbo hilo jipya baada ya kuliacha lile la Ukonga hali inayoonyesha hatakiwi tena.
Wakiongea na blog hii baadhi ya wagombea wamedai kuwa watamgalagaza kwa kutumia Kigezo cha Madai ya DIGRII FEKI ILIYODAIWA NA MWANAHARAKATI MSEMAKWELI
Kwa mujibu wa waandishi wa blog hili waliotembelea katika vituo mbalimbali vya kuchukulia fomu hizo leo asubuhi, wamesema kuwa, hadi sasa ni wagombea 21 wamejitokeza kuwania nafasi za Ubunge kwa jimbo la Ukonga, Segerea na Ilala.
Waliochukua fomu katika Jimbo la Segerea hadi sasa ni nane, Ilala watatu, Ukonga 11 huku wengine 35 wakijitokeza kuwania nafasi ya Udiwani viti maalum ambapo wanane wamerejesha fomu hizo.
Jimbo la Temeke hadi leo asubuhi ni wagombe wanane wamejitokeza kuwania nafasi ya Ubunge akiwemo Mbunge anayetetea nafasi hiyo, Tambwe Hizza, Mbunge wa zamani, Khadija Kusaga, Salim Chicago na Moud Nando.
Wakati kwa Jimbo la Kawe waliochukua fomu za Ubunge ni 16 ambapo baadhi yao ni Faustine Kikove, Mahamoud Madenge, Nicodemus Chengula, Erick Suma, Omary Wahure na wengineo.
Hadi leo asubuhi Wilaya ya Ilala ni wagombea wanne wa Ubunge ambao tayari wamerejesha fomu hizo kwa ajili kuomba ridhaa katika mchakato huo ambao ni Mbunge wa zamani, Mussa Zungu anayetetea nafasi yake, Japhary Ole Koimale, Magaya Gasaya na Eugen Mwaiposya.
Kwa wakazi wa jiji la DSM Habari hii waweza kuipata zaidi katika Gazeti la Dar leo
BI KURUTHUM NAYE AJITOSA KUGOMBEA UDIWANI!!
Subscribe to:
Posts (Atom)