RAIS wa Rwanda, Paul Kagame ameahidi uchaguzi wa mwezi ujao utakuwa huru huku akipinga ukosoaji wa hivi karibuni uliotolewa na mashirika ya kutetea Haki za Binadamu.
Akizindua kampeni kwa ajili ya uchaguzi wa Agosti 9 mwaka huu Rais Kagame alisema kuwa wapiga kura wa Rwanda wana uhuru wa kuchagua.
Kauli hiyo ya Rais Kagame imekuja baada ya hivi karibuni wakosoaji kadhaa kuuawa ama kushambuliwa huku ofisa mmoja mwandamizi akizikwa huku Rais Kagame akiwa anazungumza.
Mwandishi wa Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC, Geoffrey Mutagoma aliyepo mjini Kigali amesema maelfu ya wafuasi wa Rais Kagame wakiwa wamevaa rangi za chama ambazo ni nyekundu, nyeupe na bluu walijaa kwenye uwanja wa taifa wa Amahoro na wengi walishindwa kuingia.
Mbali na kampeni za Rais Kagame,vyama vingine vitatu vilizindua kampeni zao lakini vyote vinaonekana kuwa karibu na Rais Kageme kutokana na kuwa vyama viwili vimekuwa serikalini tangu mwaka 1994.
Akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kampeni hizo, Rais Kagame alisema anahisi chama chake kitarudi madarakani."Nina imani kuwa raia wa Rwanda watachagua kushirikiana na

No comments:
Post a Comment