Uhaba wa Babasi ya wanafunzi yalio fadhiliwa na Benk ya CRDB ni changamoto kwa wadau wengine kuiga mfano huo ilikuokoa wimbi la wanafunzi wa jiji la DSM kunyanyaswa na makonda wa Daladala.Pichani ni Konda wa Basi moja wapo akiwapanga wanafunzihao iliwenzao walioko nje waweze kubanana kwa ajili ya kusafiri kuwahi Shule . Picha kwa hisani ya (Mo blog)
No comments:
Post a Comment