MWALIMU wa Shule ya Msingi ya Nalembele mkoani Mtwara Muhibu Chihambe (30), anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kufumaniwa na mkewe akifanya tendo la ndoa na mwanafunzi wake katika nyumba wanayoishi.
Kamanda wa Polisi Mkoani Mtwara Steven Buyuya amesema kuwa mtuhumiwa huyo alifumaniwa na mkewe Zainabu Hasani baada ya mkewe kumdanga kuwa anasafiri.
Hata hivyo imedaiwa kuwa mwanafunzi huyo ambaye ni wa darasa la saba kwa sasa amekuwa akifanya naye tendo hilo kwa mara ya tatu ambapo mara nyingine alikuwa akifanya naye porini.
Kamanda amesema kuwa, mke wa mtuhumiwa huyo aliweza kuwafumainia baada ya kurudi nyumbani ghafla na kumkuta mumewe chumbani wakiendelea kufanya tendo hilo.
Tukio hilo lilitokea jana saa, 4 asubuhi katika kijiji cha Nalihehe, ambapo mtuhumiwa huyo ilikamatwa kwa ushirikiano wa wananchi baada ya mkewe kupiga kelele za kuomba msaada.

No comments:
Post a Comment