header

nmb

nmb

Saturday, May 8, 2010

WASANII MBALIMBALI WAMEKUTANA LEO KUZUNGUMZIA MAENDELEO YA KIJIJI CHAO.HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA!!


HII NDIO KIJIJI CHA WASANII WA MAREKANI KINAVYO ONEKANA KWA MBALI KATIKA PICHA SHUKA CHINI UONE KWA KARIBU.NDANI KUNA KUNA CHEKECHEA HADI CHUO KIKUU.HOSPITALI,MADUKA MAKUBWA,VITUO VYA POLISI MAJENGO YA MIKUTANO NA VIWANJA VYA MICHEZO MBALIMBALI


MAUKUMBI YA MIKUTANO KAMA HIVI HAPA WAMEJENGA WASANII WA MAREKANI kwa hisanji ya wafadhiri

kUTAKUWA NA MAJENGO YA bIASHARA KAMA HIVI.HAYA NDIO MAONO YETU KILA KITU KINAWEZEKANA DUNIANI NI KUJIPA MOYO TU WASKAJI

Hichi ndio Kijiji cha Wasanii, Wanamuziki na Wanahabari wa Marekani. Kijiji cha Wasanii wa Bongo kuwa kama hichi
NA HAYA NDIO MAANDALIZI YA KIJIJI CHA BONGO

Mwenyekiti wa Shirikisho la Wasanii nchini (Mwenye Kofia) akikabidhi hundi ya malipo kwa Mwenyekiti wa kijiji cha Misegese jana. Hundi hiyo iliyokuwa na thamani ya sh. milioni 1. Laki sita ni kwa ajili ya malipo ya awali ya viwanja zaidi ya miatano ambavyo watapewa wasanii wa hapa nchini . Wengine katika picha hiyo ni kamati ya SHIWATA na Wazee wa kijiji hicho.

ILIKUWA NI MUDA MUAFAKA KWA WASANIIWOTE KUKUTAQNA LEO KATIKA KUJADILI MAENDELEO YA KIJIJI CHAO AMBAPO JUMLA YA WASANII 178 WALIKUTANA JIJINI LEO KUPANGA UZINDUZI WA KIJIJI HICHO.ZAIDi .Bifya chini

No comments:

Post a Comment