header

nmb

nmb

Sunday, May 9, 2010

HUJUMA ZAFANYIKA,SIMBA YATOLEWA KIUME!!


Simba tayari imeshapigwa goli la tano na haras El Hadood yaani 5-1 katika michuano hii ya kombe la Shirikisho la CAF hivyo kwa matokeo hayo timu ya Simba imeaga michuano hiyo , mchezo huo umemalizika hivi punde na itarejea wakati wowote nyumbani kuendelea na programu nyingine ,poleni sana wana msimbazi lakini pia hongereni kwa kufanikiwa kulifanya zoezi la kuchaguana kesho. Pia walinyumwa penati kadhaa na walikuwa wakivutwa jezi kila watakapo kwenda mbele Refa kila mchezaji wa simba akiingia katika 18 anasema kazidi.

No comments:

Post a Comment