header

nmb

nmb

Sunday, May 9, 2010

MPAKA WA TANZANIA NA MALAWI HUU HAPA!!.MATUKIO KATIKA PICHA


kibao kinawaonesha ukaribu wa kuwakaribisha watu wanaotoka upande wa pili wa Nchi ya Malawi na kuwataadharisha madereva kutumia mwendo wa kilomita 80,kama inavyoonekana pichani.


Kaimu Ofisa Bonde la Ziwa Nyasa,Bw.Nkondola (kulia) akiwa na Msaidizi wake Bw.Mohamed Swaleh wakiangalia ujazo wa maji ndani ya Ziwa Nyasa eneo la Itungi Port.

Wanawake wakisubiri samaki kutoka kwa wavuvi ndani ya Ziwa Nyasa,na kwa mujibu wa wavuvi walisema hali ya hewa ndani ya ziwa ilikuwa imechafuka na hivyo kusababisha kukosa samaki na kuchelewa kutoka hadi muda wa saa 6 mchana kama kamera ilivyowanasa (Picha zote na Thompson Mpanji,Mbeya,Tanzania)

No comments:

Post a Comment