header

nmb

nmb

Wednesday, May 5, 2010

WANAHABARI WAKUMBUSHWA KUHUSU UKIMWI!!

Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria Semina ya kuwajengea uwezo wanahabari juu ya masula ya Ukimwi na Afya ya uzazi chini ya mradi wa CHAMPION- unaoendeshwa na shirika lisilo la kiserikali la EngenderHealth kwa ufadhili wa USAID iliyofanuyika jana jijini Dar es salaam.

Mkufunzi kutoka Mradi wa ‘CHAMPION’, unaofadhiliwa na Shirika la Misaada ya Maendeleo la Watu wa Marekani USAID, chini ya Shirika lisilo la Kiserikali EngenderHealth, Sara Teri , akiendesha mafunzo kwa waandishi wa habari kuhusu maambukizi ya Ukimwi iliyofanyika jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment