header

nmb

nmb

Tuesday, May 4, 2010

WAMBURA HAITAKII MEMA TANZANIA KIMICHEZO...., AFUNGUA KESI MAHAKAMANI KINYUME NA KANUNI ZA FIFA.

Huyu ndiye Richard Wambura

Richard Wambura aliyekuwa mgombea Uenyekiti Simba.
Hatimaye mwanachama wa klabu ya SIMBA JUMA MTEMI mwenye nambari 01423 amefungua kesi katika mahakama ya wilaya ya ILALA ya SAMORA kupinga uchaguzi wa viongozi wa klabu hiyo unaotarajiwa kufanyika tarehe 9 mwezi huu.

Baada ya kufika katika mahakama hiyo na kuulizia kesi hiyo ambapo taarifa kutoka kwa watu waliofika katika mahakama hiyo zinasema mwanchama mmoja amefungua kesi asubuhi ambapo ilifunguliwa kwa hakimu mkazi RM KINYAGE.

Kwa mujibu wa vyanzo vya habari , mwanachama huyo anatetewa na wakili JEROME MSEMWA ambapo kesi hiyo itaanza kusikilizwa kesho majira ya saa saba mchana.

Hata hivyo mwanachma aliyefika kufungua kesi ya kupinga uchaguzi wa simba aliongozana na MICHAEL WAMBURA ambaye alienguliwa katika chaguzi huo Habari By Prhabari
KWANI HAKUNA KAZI NYINGINE AKAFANYA ILA SIMBA TUU!!

No comments:

Post a Comment