header

nmb

nmb

Sunday, May 2, 2010

SAFARI YA WASANII KUELEKEA KWENYE VIWANJA VITAKAVYOJENGWA "KIJIJI CHA WASANII TANZANIA"

Safari ilianzia makao makuu ya Shirikisho la wasanii Tanzania (SHIWATA) kuelekea Kisarawe kwenye viwanja hivyo. Ilikuwa ni nzuri na ya mafanikio kwakweli
Kila mmoja wetu alianza kwa kujiamini kuwa ataikwenda hadi mwisho wa viwanja zaidi ya miatano kujionea mwenyewe
Anko Patty pia nilikuwepo katika msafara huo kwa majigambo makubwa kuwa Maji uki yavulia nguo ni lazima uyaoge. Tuko na akina Mzee Kingki ki, Salvadoo na mkewe,Kanumba na wasanii wacheza Soka kibao2 mwanangu.
Tukizungumza na Mwenyekiti wa kijiji akituhadharisha kuwa nimbali nakwamba kuna zaini yam kilometa 3 hadi tufike kwa miguu tukamwambia Powa2 kwani sote tuko fiti
Mambo yalikuwa hivi.Tukiwa na mwenyekiti wa Shirikisho Bw. Kassim Twalib (kushoto) Viatu vikiwa vimeanza kushikwa mikononi
mambo hayo si unajua mvua tena

Hoi mtu wangu

Baada ya kilometa 2 na nusu Kanumba, Patty wote hoi
Baadaye tulipo rejea Kijijini Tulipata nafasi ya kupiga picha za pamoja

No comments:

Post a Comment