header

nmb

nmb

Wednesday, May 26, 2010

WAPANDA PIKIPIKI WAENDELEA KUPATA VILEMA!!


Askari wa Kikosi Kutuliza Ghasia (FFU) ambaye jina lake halikupatikana mara moja akimwonesha askari mwenzake wa Kikosi cha Usalama Barabarani chanzo cha ajali ya gari T 289 AGK lililogongana uso kwa uso na pikipiki yenye namba T 292 BFN katika Barabara ya Pugu karibu na Gereza la Ukonga leo asubuhi. (Picha na Nyakasagani Masenza)

No comments:

Post a Comment