header

nmb

nmb

Thursday, May 27, 2010

Makhirikhiri wawasili Dar, kuanzia show Kanda ya ziwa.... Dar kupigwa show mbili..!

Kiongozi wa kundi la Makhirikhiri akiongea na wanahabari Uwanja wa ndege wa Mwl. Nyerere jana usiku mara tu walipowasili nchini, kushoto ni mratibu na msemaji wa kituo cha redio Times ambao ndio waliodhamini ujio huo

Picha na mdau Victor Mkumbo.

No comments:

Post a Comment