header

nmb

nmb

Saturday, May 8, 2010

MVUA YATUTIA AIBU KWA UGENI ULIOKUWEPO JIJINI. BARABARA YA NYERERE KUELEKEA UWANJA WA NDEGE NI NOMA MAZEE!!



Magari yakiwa yamekwama katika Barabara ya Nyerere kufuatia maji kufulika eneo hilo kwa wiki nzima sasa, dereva aliyekuwa akijaribu kukwepa madibwi alizama.

MPANDA BAISKELI NAYE PIA ALIKUTWA NA ADHA HIYO.

No comments:

Post a Comment