header

nmb

nmb

Saturday, May 8, 2010

KIJIJI CHA WASANII CHAKABIDHIWA VIWANJA ZAIDI YA MIA TANO HUKO KISARAWE!!Mwenyekiti wa Shirikisho la Wasanii nchini (Mwenye Kofia) akikabidhi hundi ya malipo kwa Mwenyekiti wa kijiji cha Misegese jana. Hundi hiyo iliyokuwa na thamani ya sh. milioni 1. Laki sita ni kwa ajili ya malipo ya awali ya viwanja hivyo. Wengine katika picha hiyo ni kamati ya SHIWATA na Wazee wa kijiji hicho.
Mzee huyu ni Bw. Mandri Kabuguru ambaye ndiye aliye toa Ardhi yake na kukabidhi kijiji kwa ajili yetu wasanii wa hapa Tanzania. Kijiji hicho kinatarajiwa kuwa ni cha kisasa kama kile cha Holywood nchini Marekani


Katika Harakati za kuweka mipaka
Hapa wanakamati walikuwa wakipata lunch.
Kutoka kushoto ni Abull Salvador,Gano na anko Patty

No comments:

Post a Comment