header

nmb

nmb

Wednesday, May 26, 2010

Kinara wa madawa ya kulevya duniani mbaloni....!Polisi wa Jamaica wamemtia mbaloni kwa taabu kinara wa madawa ya kulevya Christopher ‘Dudus’ Coke nchini Jamaica na Marekani wameripoti BBC.


Vurugu kubwa ilitokea na moshi wa mashambulio ulionekana pale polisi walipokuwa wakimsaka sehemu ambazo inasadikiwa alikuwepo maeneo ya bustani ya Tivoli huko western Jamaica.

No comments:

Post a Comment