header

nmb

nmb

Monday, May 24, 2010

BREAKING NEWZZZ; LIYUMBA APIGWA MVUA 2 JELA....!


ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela.
Awali Bw. Liyumba na Meneja Mradi wa benki hiyo, Deogratius Kweka, walifunguliwa mashitaka ya matumizi mabaya ya ofisi ya umma na kusababishia serikali hasara ya sh bilioni 221, baada ya kuidhinisha ujenzi wa minara Pacha ya BoT bila idhini ya Bodi ya Wakurugenzi wa Benki Kuu.

No comments:

Post a Comment