header

nmb

nmb

Friday, May 7, 2010

ELIMU HAINA MWISHO!!

moja wa wahitimu wa mafunzo ya uwezeshaji wa matumizi ya rasilimali maji katika bonde la Ziwa Nyasa,Linus Kidwangise akipokea cheti cha uitimu kutoka kwa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi,Levisson Chillewa katika hafla fupi iliyofanyika katika ukumbi wa bomani,wilayani humo.BY.PICHA NA THOMPSON MPANJI

No comments:

Post a Comment