header

nmb

nmb

Friday, May 7, 2010

Mafunzo ya Matumizi ya rasilimali maji yazinduliwa Mbozi..!

Kaimu Ofisa wa Bonde la maji Ziwa Nyasa,Bw.Witgal Nkondola akitoa hotuba ya kumkaribisha,mgeni rasmi Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi,Bw.Levisson Chillewa kufunga mafunzo ya wiki tatu ya nadharia na vitendo ya wawezeshaji wa matumizi ya rasilimali maji kutoka halamshauri 10 zilizo ndani ya bonde hilo.THOMASI MPANJI

No comments:

Post a Comment