header

nmb

nmb

Friday, May 7, 2010

KEKI YA AMANIMeneja wa Mradi unaofadhiliwa na shirika lisilo la kiserikali la Heifer International kutoka nchini Marekani akikata keki ikiwa ni ishara ya upendo na kumshukuru mungu kwa kutimiza miaka 52 ya kuzaliwa kwake jana katika hafla iliyofanyika jijini hapa(PICHA ZOTE NA THOMPSON MPANJI)

No comments:

Post a Comment