
Afisa habari wa ZAIN Tanzania Bw. Muganyizi Mutta kulia akimkabidhi zawadi mdau wa Pr Habari Anko Pati kwa niaba ya Bw. Peter Mwenda

Wadau wa Pr Habari wakifurahia zawadi kutoka Zain baada ya kuzawadiwa na Bw. Muganyizi Mutta nje ya jengo la Zain Tanzania ktk ofisi zao zinazosemekana kuwa kubwa zaidi Afrika ya Mashariki

Mtangazaji wa Redio Times Bw. Amir Massare akipokea zawadi ya Blackberry kutoka kwa Afisa habari wa Zain Bw. Mugamuzi Mutta.
No comments:
Post a Comment