Shirikisho la soka nchini linaungana na Dunia na hasa ulimwengu wa michezo katika msiba mkubwa wa mtu mashuhuri sana, aliyekuwa raisi wa Kamati ya Olimpiki duniani (I.O.C) Bw. Juan Antonio Samaranch ( Pichani), ambaye amefariki dunia kwa ugonjwa wa moyo akiwa na umri wa miaka 89. zaid ingia http://www.wavuti.com/
No comments:
Post a Comment