DIMITAR Berbatov anaweza akacheza msimu wake mwisho Manchester United kwa kuwa klabu ya AC Milan inadaiwa kupanga kutenga ada ya pauni milioni 20 ili kumsaini.
Sun lilisema wiki ilipita kuwa kocha wa Old Trafford, Alex Ferguson amepoteza imani kwa mchgezaji huyo kutoka Romania na kwamba anapanga kumuuza.
Fergie yuko tayari kumuuza kwa bei ya hasara Berbatov mwenye umriw a miaka 29, ambaye alitumi pauni milioni 30.75 kumsaini amefunga mgoli 12 katika msimu huu, kama milan itaonesha nia ya kutaka kumsaini anaweza kushawishi kupiga bei.
Chanzo kutoka AC Milan kilisema "Hakuna mawasiliano yaliyofanyika, lakini tunampenda Berbatov.
"Ni mchezaji mwenye nguvu ambaye atafanya vizuri kwa kucheza Italia. Kama kuna kitu kinapangwa tunaweza kuona. Imekuwa ngumuj kwa Berbatov katika Manchesterlakini ni mchezaji mzuri kwenye kila kitu."
Mchezaji kutoka Serbia ambaye alisainiwa na United kwa pauni milioni 10 Zoran Tosic, anataka kwenda kucheza kwa mkopo katika klabu ya Cologne.bbc tz. Deo myonga wa Dar leo

No comments:
Post a Comment