header

nmb

nmb

Friday, April 30, 2010

UKATILI DHIDI YA ALBINO NI HUU. HII NI MWENDELEZO WA HABARI YETU YA JANA. WALIMKATA MKONI WAKAMPAKA MAFUTA YA TAA!!.

Msichana Kabula Nkalango (13) ambaye ni mlemavu wa ngozi mkazi wa Kijiji cha Luhaga Kata ya Igwamanoni Wilayani Kahama akiwa amelazwa wodi namba tatu ya Hospitali ya wilaya hiyo baada ya kufanyiwa unyama wa kukatwa mkono wake wa kulia juzi usiku wakiwa wamelala. (Picha imepigwa na Patrick Mabula. Zaidi nunua gazeti la Majira la leo. Pia waweza kubofya chini utaikuta habari )

No comments:

Post a Comment