header

nmb

nmb

Thursday, April 29, 2010

MAJAMBAZI YA BAKA WAPANGAJI WA GESTI NA KUIBA!!

BANGO

BUNDUKI NDOGO

KUNDI la majambazi wakiwa kwenye pikipiki jana wamevamia gari ndogo iliyokuwa kwenye foleni eneo la Jangwani na kupora fedha za mauzo zilizokuwa zimejazwa kwenye mifuko.
Tukio hilo limetokea jana jioni eneo la Jangwani wakati gari hiyo ndogo ikiwa kwenye foleni.

Kwa mujibu wa mashuhuda wetu imedaiwa kuwa, dereva wa gari hilo akiwa kwenye foleni huku buti ya gari lake ikiwa imeachwa wazi ghafla vibaka hao walivamia kwa nyuma kisha kuiba mifuko miwili iliyokuwa imejaza fedha.

Kutokana na tukio hilo wananchi waliokuwa karibu walishtukia dili hilo kisha kuanza kupiga mayowe ambapo majambazi hao walipiga risasi iliyomjeruhi abiria mmoja aliyekuwa kwenye gari la jirani.

Majambazi hao walitoweka kwa kutumia pikipiki wakielekea Jangwani.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Faustine Shilogile alipopigiwa simu alithibitisha tukio hilo na kusema kuwa, yupo nje kikazi kwenye ziara ya mama Salma Kikwete ya kutembelea Wilaya ya Ilala.
Amesema kuwa atatoa taarifa za kina mara baada ya kurejea ofisini kwake.

HII DAR

No comments:

Post a Comment