header

nmb

nmb

Friday, April 30, 2010

PINDA APOKEWA KWA MABANGO YENYE PICHA YAKE SINGIDA!!


Wakazi wa Singida wakiwa wamebeba bango lililochorwa Picha ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na ramani ya mkoa wa Singida ikiwa ni zawadi aliyokabidhiwa Mheshimiwa Pinda katika Mkutano wa hadhara aliouhutubia katika kijiji cha Msungua wilayani Singida Aprili 28, 2010, (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment